MAKALA HII NI KWA
WANAOBET MTANDAO/ ONLINE BETTING KARIBU
Ni kitu cha kawaida sasa kukuta nchi zinazoendelea na
zilizoendelea watu kucheza michezo ya kubashiri. Ni kitu cha kawaida japo
ukifanya vibaya unaweza kuwa addicted nayo. KUBET au KUBASHIRI au wengine huita
KUCHEZA KAMARI ni mchezo wa kuotea na Sasa umekua maarufu hapa nchi kwetu.
Kama wewe nimchezaji au ungependa kucheza Kamari au betting ONLINE ambayo imehalalishwa kisheria ni
muhimu ukajua makampuni mazuri yanayotoa huduma nzuri katika michezo hii. Leo nimekuwekea
makampuni ambayo yanaubora mzuri na kukuaminisha kuwa unaweza ukabashiri nayo. YAPO MAKAMPUNI MENGI ILA
Vigezo vya kuyapanga
ni kutokana na Options katika kila
mchezo, Usalama Wa mihamala ya Pesa
zako na huduma kwa wateja Pale
unapohitaji msaada au unapopata tatizo.
Kulingana na utafiti niliofanya mimi makampuni Saba
nimeyaona kuwa bora japo yanazidiana uwezo hivyo nitakuwekea makapuni hayo
kuanzia namba 7 mpaka namba moja. Na pengine nitakupa pendekezo langu wapi
ucheze Kamari kwa uhuru Zaidi. Karibu.
NAMBA 7: SUPABET
Supabet Licha ya
kuwa ya kuwa na mijengo ya kubet
dirishani pia wana website yao ya kubet ambapo unaweza kujiunga nao.
Uzuri wa
subet ni kuwa wana optons nzuri na wamesajiliwa na bodi ya michezo ya
kubashiri. Nimewahi kubet kwao. Ila sikupendezwa na vile mtandao unavyosumbua
sumbua. Mtandao unaweza kuwa mzito kwa siku 3 na usiweze kutuma bet zako. Ingawa
kwenye kutoa na kuweka pesa wako haraka unaweza kutoa na kuweka pesa muda
wowote. Uzuri wao ni kuwa wana Mobile Application inayokuwezesha kubet
kirahisi. Na dau la chini la kuweka pesa kwenye account yako ni tsh 1000. Na unaweza
kubet kw sh 200 katika mkeka mmoja. Supabet wanakata asilimia 18% ya kodi kwa
kila mkeka utakaobet.
NAMBA 6: PLAY MASTER
PLAY MASTER wana huduma nzuri kwa wateja. Pia kiwango chao
cha chini cha kudepost pesa ni shilingi 1000 na unaweza kubet kw ash 500 katika
mkeka mmoja.
NAMBA 5; PRINCESSBET
PRINCESSBET ni
moja ya makampuni mazuri. Ni bora Zaidi ukilinganisha na namba 7 na 6.
Uzuri wao
wana huduma nzuri kwa wateja. Unafanya miamala kirahisi. Nisichovutiwa nacho ni
kuwa hawana options nyingi na hivyo kufanya nafasi ya kushinda kuwa ndogo. Na tatizo
linguine mtandao wao huwa mzito na kukufanya ushindwe kubet wakati Fulani hasa
kukiwa na match nyingi kama vile jumapil na jumamosi. Uzuri wa Princessbet hawakati asilimia 18% ya kodi kwa kila mkeka utakaobet.
NAMBA 4: PRIMIER BET
PRIMIER BET huyu ni maarufu kwa jina Kanjibai…
wanamwita MUHINDI ni moja ya makumpuni ya siku nyingi hapa Tanzania.
Wanabetisha mpaka mitaani.
Lakini kwa online pia wana platform nzuri. Nachowapendea
wana options nyingi na kukupa nafasi ya kuweza kumpiga muhindi yani kushinda. Nauzuri
ni kuwa mtandao wao hausumbui sana ni mara chache utasumbua. Na uzuri wana mobile Application
inayokuwezesha kubet kirahisi. Nisicho kifurahia kwao ni kuwa huwezi kutoa pesa
zako ulizoshinda weekend. Kutoa pesa ni jumatatu kuanzia saa 6 mchana mpaka
ijumaa saa 6 mchana. Ukitoa pesa jumapili au jumamosi tegemea kuipata jumatatu.
Usumbufu huu kwenye pesa zangu sikuupenda. Ila ni kampuni nzuri nay a kuiamini.
Primier bet wanakata asilimia 18% ya kodi kwa kila mkeka utakaobet lakini uzuri ni kwamba unapewa pesa uliyakatwa kama bonus katika mkeka wako. Hivyo hakuna unachopunguza.
SASA TUINGIE KWENYE
TOP 3
NAMBA 3 NI : MERIDIAN
BET
Hii ni moja ya makampuni makongwe kidogo hapa Tanzania. Naipenda
meridian kwasababu ina options nyingi na match za ligi nyingi hivyo kukupa
nafasi kubwa ya kushinda. Kingine ni kuwa wanakupa nafasi ya kudepost kiasi
chochote kuanzia sh 100 nakuendelea.
Mkeka mmoja unaweza kubet kwa shilingi 200
na kuendelea. Pia mihamala yao ni haraka. Huduma kwa wateja ni za haraka na
masaa 24. Kingine ni kuwa ile asilimia 18% ambayo unakatwa hapa unarudishiwa
kwenye bonus account yako ambayo unaweza kuibetia. Nisichovutiwa na meridian ni
kusumbua kwa mtandao hasa siku za jumamosi na jumapili ambapo kuna kua na match
nyingi. Merdianbet wana Application inayokuwezesha kubet kirahisi lakini pia
katika mkeka wako kama match kadhaa zimeisha na zingine bado basi wana option
inayokupa wewe nafasi ya kutrubo pay. Yani unalipwa kulingana na match ambazo
tayari zimewin.
NAMBA 2 NI: SPORTPESA
SPORTPESA Ni
KAMPUNI kubwa hapa Tanzania na afrika masharikio. Kiasi cha kudepost ni kuanzia
sh 1000 na unabet kuanzia sh elfu 1000.
Nachopenda kutoka sport pesa licha ya
kuwa na options chache na match chache wana odds nono. Pia KUTOA na kuweka pesa
ni haraka sana. Ni kampuni nzuri. Huduma kwa wateja ni nzuri na haraka na kwa
masaa 24. Wana mobile application inayokupa nafasi ya kubet kirahisi sana. Mi labda
ambacho sijakipenda sana ni wana options chache na pia wana match na ligi
chache kwenye sportbook yao. LAKINI HII KAMPUNI BORA KABISA. SPORTPESA wanakata asilimia 18% ya kodi kwa
kila mkeka utakaobet.
NAMBA MOJAAAAA ;
1XBET
1XBET hii inaweza
kuwa kampuni ngeni kwa watu wengi saana. Maana hawana mjengo hapa Tanzania. Isipokuwa
ni kampuni kubwa kutoka URUSI.
Hii kama kampuni zile za 365bet na zingine za
huko ughaibuni. Kabla hujajisajili na hii kampuni hakikisha unakitambulisho cha
NIDA cha utaifa. Kampuni hii ni tofauti na makampuni makubwa duniani Maana
inakupa nafasi ya kudepost na kuwithdraw kwa njia ya simu MPESA AIRTEL MONEY NA
TIGO PESA. Wana huduma nzuri kwa wateja unaweza kupigiwa simu na unajibiwa
ujumbe wako ndani ya dk moja. Kuhusu Options hapa 1xbet utakimbia kuna options
nyingi sanaaaaa sanaaaa. Pia kiwango chao cha chini cha kuweka pesa ni shilingi
1500 na unaweza kubet kuanzia sh 300. Wana application nzuri ya simu inakupa
nnafasi kubet mpaka live kwa haraka sana. Toka nimeanza kubet kwa huyu mrusi
yaani 1XBET sijawahi kupata shida ya network. Nini kila sababu kuwa namba moja
.ukishindwa kujiunga na ukakwama popote weka comment nitakusaidia au niandike email hapa NITUMIE UJUMBE