TAZAMA PICHA ZA MIKOBA HIYO
Kama unapenda kujua bei ya mikoba hii unaweza kutembelea Tovuti za amazon au ebay na ukajionea bei.. lakini mara nyingi bei zake huwa kati ya $25 mpaka $250 kwa bei ya chini Yaani kama shiling elfu 50 ya kitanzania mpaka sh500,000 hii ni kwa ile mikoba ya bei ya kawaida/..... UNAWEZA KUTUANDIKIA MAONI YAKO NINI TUBORESHE KATIKA KURASA WETU asante na karibu tena.