Ni Imani yangu kuwa article hii itakusaidia wewe ambaye
unashiriki michezo hii ya kubahitisha hasa mpira wa miguu na michezo kama mpira
wa kikapu na ile ya volleyball. Pia ni Imani yangu kuwa kama wewe ni chini ya miaka -18 hautajihusisha na
michezo hii kama ilivyo sharia ya hii michezo.
Moja ya option inayochanganya watu wengi katika kubashiri
yaani kubet ni option ya over na under. Wengi husema two plus au three
plus bila kuelewa hasa kimchezo huwa inaandikwa au inajulikanaje.
Wengi ambao mmeingia kwenye website mbali mbali nahisi
umeona kitu kuandikwa mf: 2.5 Over AU 2.5
Under. Basi leo kwa kiasi nitakuelewesha option hii.
MAANA YA UNDER
Kiswahili fasaha cha neno Under ni CHINI YA au maana nyingine inaweza kusemwa ni PUNGUFU YA … hivyo mtu akisema mfano under 3 ni pungufu ya tatu au
chini ya tatu. TUKIANGAZIA KATIKA
BETTING kuna 2 UNDER na 2.5 UNDER. 2 under maana yake kimchezo isifikie mbili. Kwa
mfano umecheza goli. Ukasema total goals 2 under maana yake yasifike magoli
mawili liishie moja tu. Mf. Anacheza Chelsea vs arsenal basi match iishe 1-0 au
0-0 au 0-1 hapo utashinda lakini kukiwa na magoli Zaidi utaliwa.
Na 2.5 under maana yake yasizidi magoli mawili. Nakukumbusha
tena 2 under maana yake yasifike magoli mawili. Lakini 2.5 under yakifika
magoli mawili bado ticket au mkeka wako utakua salama. Lakini yakifika magoli
matatu basi mkeka utachanika. Mf anacheza Man U VS Man City basi match iishe
0-0 au 1-1 au 1-0 au 2-0 idadi ya magoli isifike tatu.
Ni Imani yangu kuwa umeelewa kidogo
MAANA YA OVER
Kiswahili fasaha cha over ni juu ya. Au izidi . sasa hii
over katika michezo yetu hii huwa tunasema ni plus. Mfano too plus au three
plus. Sasa tuanze mfano na over 2. MAANA ya over 2 ni ifike angalau mbili. Mf kama
umebet magoli na ukabet over 2 maana yake angalau kuwe na mgoli mawili na Zaidi
hapa sasa iko hivi ikifika magoli mawili hautashinda moja kwa moja isipokuwa
kiasi chako ulichobet kitarudiswa kwenye account yako. Na ikiwa chini ya goli
mbili basi ticket yako au mkeka wako utakua umechanika. Hivyo ili ushinde moja
kwa moja unahitaji kuwe na goli tatu. Sasa 2.5 over hii kiswajili chake tumekizoe
kama 3+ yaani three plus kuwe na goli tatu na kuendelea. Kwa hio kila utakpo
kuta under na over elewa kutofautisha kati ya over yenye point na isiyo na
point mf over 1 na over 1.5, over 2 na over 2.5 , over 3 na over 3.5 na
kuendelea.
NAKUPENDEKEZEA UJIUNGE LEO NA 1XBET NA HUTOJUTIA KABISA JIUNGE sasa JIUNGE KIRAHISI BONYEZA HAPA 1XBET 1XBET kisha jaza fomu na ujiunge.
ukishindwa kujiunga na ukakwama popote weka comment nitakusaidia au niandike email hapa NITUMIE UJUMBE